Macho yangu yamechoka kwa machozi,Mtima wangu umetaabika;Ini langu linamiminwa juu ya nchiKwa uharibifu wa binti ya watu wangu;Kwa sababu watoto wachanga na wanyonyao,Huzimia katika mitaa ya mji.