Wazee wa binti Sayuni huketi chini,Hunyamaza kimya;Wametupa mavumbi juu ya vichwa vyao,Wamejivika viunoni nguo za magunia;Wanawali wa Yerusalemu huinama vichwa vyaoKuielekea nchi.