Mwa. 31:36 Swahili Union Version (SUV)

Yakobo akakasirika, akagombana na Labani. Yakobo akajibu, akamwambia Labani, N’nini hatia yangu? Nayo ni nini dhambi yangu, hata ukanifuatia namna hii?

Mwa. 31

Mwa. 31:31-44