Mwa. 31:37 Swahili Union Version (SUV)

Umepapasa-papasa vyombo vyangu vyote; ni kitu gani ulichokiona cha nyumbani mwako? Kiweke hapa mbele ya ndugu zangu, na ndugu zako, wakaamue kati yetu.

Mwa. 31

Mwa. 31:34-41