Akasema,BWANA alitoka Sinai,Akawaondokea kutoka Seiri;Aliangaza katika kilima cha Parani,Akaja Meribath-kadeshi.Upande wa mkono wake wa kuumePalikuwa na sheria ya moto-moto kwao.