Hakika awapenda hayo makabila ya watu;Watakatifu wake wote wamo mkononi mwako;Nao waliketi miguuni pako;Watapokea kila mmoja katika maneno yako.