Nitailevya mishale yangu kwa damu,Na upanga wangu utakula nyama;Pamoja na damu ya waliouawa na waliotekwa nyara,Katika vichwa vya wakuu wa adui.