Nikiunoa upanga wangu wa umeme,Mkono wangu ukishika hukumu,Nitawatoza kisasi adui zangu,Nitawalipa wanaonichukia.