Kum. 32:43 Swahili Union Version (SUV)

Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake;Kwa maana atatwaa kisasi kwa damu ya watumwa wake,Atawatoza kisasi adui zake,Tena atafanya kafara kwa nchi yake, na watu wake.

Kum. 32

Kum. 32:33-45