Kum. 32:14 Swahili Union Version (SUV)

Siagi ya ng’ombe, na maziwa ya kondoo,Pamoja na mafuta ya wana-kondoo,Kondoo waume wa Kibashani, na mbuzi,Na unono wa ngano iliyo nzuri;Ukanywa divai, damu ya mizabibu.

Kum. 32

Kum. 32:13-17