Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka,Naye akala mazao ya mashamba;Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini,Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume;