Lakini Yeshuruni alinenepa, akapiga teke;Umenenepa, umekuwa mnene, umewanda;Ndipo akamwacha Mungu aliyemfanya,Akamdharau Mwamba wa wokovu wake.