Kum. 17:18 Swahili Union Version (SUV)

Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika chuo, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi;

Kum. 17

Kum. 17:11-20