Kum. 17:19 Swahili Union Version (SUV)

na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya;

Kum. 17

Kum. 17:12-20