Watu wale waliokwenda katika gizaWameona nuru kuu;Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti,Nuru imewaangaza.