Umeliongeza taifa, umezidisha furaha yao;Wanafurahi mbele zako,Kama furaha ya wakati wa mavuno,Kama watu wafurahivyo wagawanyapo nyara.