Isa. 60:14 Swahili Union Version (SUV)

Na wana wa watu wale waliokutesaWatakuja kwako na kukuinamia;Nao wote waliokudharauWatajiinamisha hata nyayo za miguu yako;Nao watakuita, Mji wa BWANA,Sayuni wa Mtakatifu wa Israeli.

Isa. 60

Isa. 60:6-17