Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe,Mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja;Ili kupapamba mahali pangu patakatifu,Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.