Isa. 60:12 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana kila taifa na ufalme wa watuWasiotaka kukutumikia wataangamia;Naam, mataifa hayo wataharibiwa kabisa.

Isa. 60

Isa. 60:11-17