Na kwa kuwa umeachwa na kuchukiwa,Hata ikawa hapana mtu aliyepita ndani yako,Nitakufanya kuwa fahari ya milele,Furaha ya vizazi vingi.