Nao watanguruma juu yao siku hiyoKama ngurumo ya bahari;Na mtu akiitazama nchi, ataona giza na dhikiNayo nuru imetiwa giza katika mawingu yake.