Ngurumo yao itakuwa kama ya simba;Watanguruma kama wana-simba;Naam, watanguruma na kukamata mateka,Na kuyachukua na kwenda zao salama,Wala hakuna mtu atakayeokoa.