Mishale yao ni mikali, na pindi zao zote zimepindika;Kwato za farasi zao zitahesabika kama gumegume;Na gurudumu zao kama kisulisuli;