Isa. 5:2 Swahili Union Version (SUV)

Akafanya handaki kulizunguka pande zote,Akatoa mawe yake,Akapanda ndani yake mzabibu ulio mzuri,Akajenga mnara katikati yake,Akachimba shinikizo ndani yake;Akatumaini ya kuwa utazaa zabibu,Nao ukazaa zabibu-mwitu.

Isa. 5

Isa. 5:1-12