Na nimwimbie mpenzi wangu wimbo wa mpenzi wangu katika habari za shamba lake la mizabibu.Mpenzi wangu alikuwa na shamba la mizabibu,Kilimani penye kuzaa sana;