Isa. 47:12 Swahili Union Version (SUV)

Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.

Isa. 47

Isa. 47:4-14