Isa. 44:6 Swahili Union Version (SUV)

BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.

Isa. 44

Isa. 44:3-9