Isa. 44:7 Swahili Union Version (SUV)

Naye ni nani kama mimi atakayeita, na kuyahubiri haya, na kunitengenezea, tangu nilipowaweka watu wa kale? Na mambo yanayokuja na yatakayotokea, wayatangaze.

Isa. 44

Isa. 44:6-12