Aliye hai, naam, aliye hai, ndiye atakayekusifu, kama mimi leo;Baba atawajulisha watoto kweli yako.