Kwa kuwa kuzimu hakuwezi kukusifu;mauti haiwezi kukuadhimisha;Wale washukao shimoni hawawezi kuitarajia kweli yako.