BWANA yu tayari kunipa wokovu.Basi, kwa vinubi tutaziimba nyimbo zangu,Siku zote za maisha yetu nyumbani mwa BWANA.