Maana umekuwa ngome ya maskini,Ngome ya mhitaji katika dhiki yake,Mahali pa kukimbilia wakati wa tufani,Kivuli wakati wa hari;Wakati uvumapo upepo wa watu watishao,Kama dhoruba ipigayo ukuta.