Kama vile hari katika mahali pakavuUtaushusha mshindo wa wageni;Kama ilivyo hari kwa kivuli cha wingu,Wimbo wa hao watishao utashushwa.