Kwa sababu umefanya mji kuwa ni chungu;Mji wenye boma kuwa ni magofu;Jumba la wageni kuwa si mji;Hautajengwa tena milele.