Isa. 25:1 Swahili Union Version (SUV)

Ee BWANA, wewe u Mungu wangu;Nitakutukuza na kulihimidi jina lako;Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu,Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.

Isa. 25

Isa. 25:1-10