Nao walio maskini kabisa watakula,Na wahitaji watajilaza salama;Nami nitatia shina lako kwa njaa,Na mabaki yako watauawa.