Usifurahi, Ee Ufilisti, pia wote,Kwa sababu fimbo ile iliyokupiga imevunjika;Maana katika shina la nyoka atatoka fira,Na uzao wake ni joka la moto arukaye Sef 2:4-7; Zek 9:5-7