Isa. 14:31 Swahili Union Version (SUV)

Piga yowe, Ee lango; lia, Ee mji;Ee Ufilisti, pia wote, umeyeyuka kabisa;Maana moshi unakuja toka kaskazini,Wala hakuna atakayechelewa katika majeshi yake.

Isa. 14

Isa. 14:23-32