Mungu amemleta kutoka Misri,Ana nguvu mfano wa nguvu za nyati;Atawameza mataifa walio adui zake,Ataivunja mifupa yao vipande vipande.Atawachoma kwa mishale yake.