Aliinama, akalala mfano wa simba,Na kama simba mke; ni nani atakayemstusha?Na abarikiwe kila akubarikiye,Na alaaniwe kila akulaaniye.