Maji yatafurika katika ndoo zake,Na mbegu zake zitakuwa katika maji mengi.Na mfalme wake ataadhimishwa kuliko Agagi,Na ufalme wake utatukuzwa.