Mfano wa bonde zimetandwa,Mfano wa bustani kando ya mto,Mfano wa mishubiri aliyoipanda BWANA,Mfano wa mierezi kando ya maji.