Tumewapigia mishale; Heshboni umepotea mpaka Diboni,Nasi tumeharibu mpaka Nofa,Ifikiliayo Medeba.