Ole wako Moabu!Umeangamia, enyi watu wa Kemoshi;Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi,Na binti zake waende utumwani,Wamwendee Sihoni mfalme wa Waamori.