BWANA, ulipotoka katika Seiri,Ulipokwenda vitani kutoka mashamba ya Edomu,Nchi ilitetema, mbingu nazo zikadondoza maji,Naam, mawingu yakadondoza maji.