Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu;Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA;Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.