Na wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora.Kama alivyokuwa Isakari, ndivyo alivyokuwa Baraka.Waliingia bondeni kwa kasi miguuni pake.Kwenye vijito vya ReubeniPalikuwa na makusudi makuu mioyoni.