Kutoka Efraimu walitelemka wao ambao shina lao ni katika Amaleki,Nyuma yako, Benyamini, kati ya watu wako.Kutoka Makiri walishuka maliwali,Na kutoka Zabuloni wao washikao fimbo ya mwandishi.