Mbona ulikaa katika mazizi ya kondoo,Kusikiliza filimbi zipigwazo ili kuita makundi?Kwenye vijito vya ReubeniPalikuwa na makusudi makuu mioyoni.