Mbali na kelele za hao wapigao mishale, katika mahali pa kuteka maji,Hapo watatangaza matendo ya haki ya BWANA;Naam, matendo ya haki ya kutawala kwake katika Israeli.Ndipo watu wa BWANA waliposhuka malangoni.